Monday, 19 October 2015

mama reginba lowasa akiwa mbeya mjini onaa





Mama Regina Lowassa leo amefanya mkutuno wa ndani na kina mama wa Mbeya mjini, ambao wameonesha utayari wao wa kuyapokea mabadiliko kwa kujitokeza kwa wingi. 

Vile vile wakina mama hao wamemuhakiiishia Mama Regina hawatakubali kudanganyanyika kwa chochote kile. 

Mama Regina Lowassa ametumia nafasi hiyo kumuombea kura Lowassa, mbunge wa jimbo hilo Joseph Mbilinyi na madiwani wa Ukawa. Mama Regina kawataka wakina mama hao na ndugu zao oktoba 25 wasifanye makosa....

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...