Tuesday, 13 October 2015

Dr. abdalah kigoda afariki dunia

Image result for abdallah kigodakigodaWaziri wa Viwanda na Biashara, Mh Abdallah Kigoda (pichani) amefariki dunia jioni hii nchini India alikokuwa anapatiwa matibabu.

Taarifa za kifo cha Mh Kigoda ambaye pia alikuwa mbunge wa Handeni mkoani Tanga zimethibitishwa na ofisi ya Bunge jijini Dar es Salaam.
Image result for abdallah kigoda
Mhe. Dkt. Kigoda alikwenda nchini India kwa matibabu tarehe 18 Septemba, 2015, kupata matibabu katika hospitali Hiyo ya Apollo. Taarifa zaidi kutolewa baadaye.

Modewji Blog inaungana na Familia ya Marehemu pamoja na Watanzania kwa ujumla katika kuomboleza kifo cha Dkt. Kigoda, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amen.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...