Watford 3-0 Liverpool Barclays Premier League matokeo: Odion Ighalo amuangusha tena kocha Jurgen Klopp's
- Odion Ighalo alifunga goli mbili kuipa nafasi ya ushindi klabu yake ya watfod
- Adam Bogdan alimruhusu Nathan Ake kumpita kirahisi na kufunga ndani ya uwanja wa nyumbani
- Martin Skrtel alilazimika kutoka nje baada ya kuumia kwenye mchezo kwa klabu yake Liverpool
- Watford starting XI: Gomes, Nyom, Britos, Cathcart, Ake, Capoue, Watson, Abdi (Behrami), Deeney, Jurado (Anya), Ighalo (Guedioura)
- Watford subs: Oulare, Holebas, Diamanti, Arlauskis
- Liverpool starting XI: Bogdan, Clyne, Skrtel (Origi), Sakho, Moreno, Lucas, Henderson, Can, Lallana (Ibe), Coutinho, Firmino (Benteke)
- Liverpool subs: Toure, Allen, Fulton, Randall
emre can akidanganya anaumwa baada ya kugongana na mchezaji wa watfod
goli kipa wa liverpool adam bogdan akijaribu kuwania mpira pamoja na mchezaji mwenzake lalana
kocha wa liverpool akijaribu kuwapa moyo wachezaji wake
angalia takwimu ya mpira ulivyokuwa
mchezaji wa watford odion ighalo akifunga goli lake la pili kwenye dakika ya kumi na tano
anashangilia baada ya kufunga goli lake la pili
ake akiangalia goli lilivyokuwa linaingia
No comments:
Post a Comment