Manuel Pellegrini ameshinda mara moja kati ya mechi 9 alizokutana na Arsene Wenger.
Man City's wanasema kuwa beki wao vicent kompany hayuko vizuri ndani ya klabu kwaiyo kunauwezekano asicheze
Manchester City inaonyesha kumtegemea sana beki wao vicent kampany katika safu ya ulinzi
sergio arguero akifanya mazoezi kwenye klabu yake uwanjani baada ya kutoka kwenye majeruhi na anaonyesha kuwa yuko vizuri kwenye mchezo wao na arsenal
joel campbell ameonekana kuwa na mchango mkubwa sana kwenye timu yake kutokana na mchezo wake wa kufumania nyavu mara nyingi
No comments:
Post a Comment