wachezaji wa liverpool wakiwa wanashangilia mpira baada ya timu yao kushinda
Roberto Firmino aliipatia liverpool dakika ya 13
Sadio Mane akifunga la 2-0
Jamie Vardy alionyesha uhai baada ya makosa yaliyofanywa na Lucas
Adam Lallana akifanya yake baada ya kutoka katika benchi la akiba
Firmino anarudi tena baaada ya makosayaliyofanywa na kipa wa leicester Kasper Schmeichel
R Firmino (13, 89),S Mane (31),A Lallana (56)
vardy leicester city
uwanja ambao walikuwa wanauchezea timu zote hizi mbili liverpool na leicester city
firmino anakimbia kwa kushangilia baada ya kufunga goli
mashabiki wa klabu ya liverpool wakitoka njee ya uwanja baada ya mchezo wao
vardy akishangilia goli baada ya kuifungia timu yake.
No comments:
Post a Comment