parachichi lililoiva
nyanya ni tunda pole sana ambalo watu wengi hutumia kama kiungio cha chakula kitu ambacho kinawafanya kutopata vitamini sawa sawa ila hili tunda linaweza kutumika kama saladi na pia unaweza kutumia kwenye maandazi ukikata silesi moja juu ya andazi inaweza kukusaidia
hii ni dawa ya kibofu
BIRINGANYA
pia nalo watu hulitumia kama tunda na kusahau kama ni tunda tunda hili limebeba potassium UTAFITI UNONYESHA KWAMBA MATUNDA MENGI YENYE RANGI YA DHAMBARAU HUSAIDIA KUZUIA MAGONGWA YA KANSA
HILI NI TUNDA AMBALO WAGIRIKI WENGI HUPENDA KULITUMIA LAKINI KWA AFRIKA LIMEONEKANA KAMA TUNDA AMBALO HALINA THAMANI
No comments:
Post a Comment