Sunday, 4 December 2016

ronaldo na mesi wamaliza tofauti zao


ronaldo na mesi waweka mbali tofauti zao na kupiga picha ya pamoja siku ya jumamosi baada ya mechi yao ya ligi kuu hispania.
watu hawa alionekana kuwa na uhasama na ushindani fulani hivi lakini sasa wako sawa sawa hawana shida yoyote.
 mesi na ronaldo waliweka kibindoni tuzo za Ballon d'Ors mara nane kwa pamoja.
ubora wa ronaldo na wa mesi unategemea na mapenzi ya mtu. 

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...