kocha wa klabu ya manchester united Jose Morinho awalaumu washambuliaji wake kwa kushindwa kufanya kazi waliotakiwa kufanya
kocha huyo amesema hawezi kulaumu mbinu walizokuja nazo westbrom
kocha huyo ameonyesha hofu ya kutokufikia lengo la kuwa top four baada ya kutoka sare na westbrom
MAN UTD | 0 | - | 0 | WEST BROM | ||
HT 0-0 |
mchezo huu unafikisha michezo 8 ambayo man u wamesare wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani.
Mkhitaryan akipambana na Craig Dawson kuwania mpira.
Manchester United: De Gea, Valencia, Bailly, Rojo, Young, Carrick. Fellaini, Mkhitaryan, Lingard, Martial, Rashford.
Subs: Romero, Blind, Darmian, Fosu-Mensah, Tuanzebe, Willock, Rooney
West Brom: Foster; Dawson, McAuley, Evans, Nyom; Livermore, Fletcher (c); Brunt, Chadli, McClean; Robson-Kanu
Subs: Myhill; Yacob, Morrison, Rondon, M Wilson, Field, Harper.
man u wanapungukiwa wakiwa wamemkosa mchezaji zlatani katika mechi zote wanazohitaji ushindi kama ya leo ambayo wachezaji mbele walikuwa hawaelewani kama ndi mara ya kwanza wanacheza na hii inasababishwa na kubadilika badilika kwa timu kila mara.
No comments:
Post a Comment