wachezaji wa liverpool wakishangilia goli lao baada ya mchezaji origi kuwafungia goli la kuwahakikishia ushindi katika mechi iliyokuwa ya kusisismua zaidi.
liverpool hawajawahi kupoteza wakiwa anfield wakicheza na everton toka mwaka 1999.
Sadio Mane , Philippe Coutinho na Divock Origi waigaragaza Everton na kuipa alama za ushindi Liverpool
Philippe Coutinho akiwafungia goli la ushindi baada ya saido mane kufunga goli la kuongoza
wachezaji wa liverpool wamecheza kwa umoja na hari pia, kwa ushindi huu wanazidi kujihakikishia kukaa top four bila wasiwasi kwakuwa atakuwa amemuacha anayemfuata kwa point kuliko ya kumuacha na magoli.
Liverpool
Simon Mignolet 6
kipa huyu mbelgiji amewasaidia sana timu yake kwa kuokoa michomo ya wapinzani.
Nathaniel Clyne 6
alikuwa hapandi sana kama kawaida yake lakini alikuwa anatia miguu kwa kila wakati adui akiwa na mpira.
Joel Matip 6
amekuwa ndio usajili safi kwakuwa amekuwa beki mzuri sana wa kati katika kikosi hicho
matip aweki mguu vibaya akiwa anamkaba adau au timu pinzani
saido mane akishangilia goli lake baada ya kupiga chenga na kuwavuruga mabeki wa timu pinzani.
matthew pennington akishangilia baada ya kuwafungia goli la kusawazisha.
No comments:
Post a Comment