mchezaji wa real madrid ronaldo akiwa katika ubora wake kwenye mechi ya uefa baada ya kuifungia timu yake goli la ushindi
mchezo ambao ulikuwa na msisimko mkubwa japokuwa real madrid walionekana kuelemewa kimchezo sana, lakini kocha zidane alifanya mpango ambao uliwasaidia katika kipindi cha pili ambapo real walikuwa wanapiga mipira mirefu.
mbinu walizokuwa wanatumia manguli wa ujerumani ni mpira wa kasi sana na kwa pasi nyingi kitu ambacho kiliwapa nafasi kubwa ya kuumiliki mpira.
real madrid walionekana kujaribu kutuliza kasi hiyo kwa kutumia mchezaji wao casemiro upande wa katikati ya uwanja .
wachezaji wa Real Madrid:
Navas; Carvajal, Nacho, Ramos, Marcelo; Modric (Kovacic, 90+1), Casemiro, Kroos; Bale (Asensio, 59), Benzema (Rodriguez, 83), Ronaldo
wachezaji wa ziada ambao hawajatumika: Isco, Casilla, Danilo, Morata
waliotoka : Kroos, Carvajal
Goals: Ronaldo 47, 77
mchezaji sergio ramos akimkabili mcshambuliaji wa muchen katika mchuano huo ambao ulikuwa wakusisimua sana, pamoja na kwamba klabu hiyo ya ujerumani ilikuwa na nafasi kubwa ya kushinda kwenye mchezo huo.
mchezaji arturo vidal akifunga goli katika mechi yao na real madrid, goli la kichwa moja kwa moja akitokea kwenye msitu wa mabeki wa real na kupiga kichwa bila kubugziwa(free header)
mchezaji wa muchen robben na wa real madrid Modrick wakiwa katika harakati za kuwania mpira.
wachezaji wa Bayern Munich:
Neuer; Lahm, Martinez, Boateng, Alaba; Alonso (Bernat, 64), Vidal; Robben, Alcantara, Ribery (Costa, 66); Muller (Coman, 81)
wachezaji wa ziada ambao hawajatumika: Rafinha, Kimmich, Sanches, Ulreich
waliotoka : Alonso, Martinez, Vidal
aliyepewa kadi nyekundu: Martinez
Goli: Vidal 25
No comments:
Post a Comment