WACHEZAJI WATANO KUTOKA HISPANIA KWENDA UINGEREZA
Klabu nyingi za uingereza zinaonekana kuwa na nia ya kuwasajili wachezaji hawa kwa kujazia nafasi zao katika usajili wa mwezi januari.
klabu ya chelsea imeonekana kuwa na rekodi nzuri kwenye kuwasajili wachezaji wengi kutoka hispania.
Ignacio Camacho (Malaga)
NAFASI: Midfielder
UMRI: 26
CAMACHO AKIWA ANAMKABA RONALDO
Sergi Enrich (Eibar)
UMRI: MSHAMBULIAJI
UMRI: 26
Roque Mesa (Las Palmas)
NAFASI: Midfielder
UMRI: 27
Dani Parejo (Valencia)
NAFASI: Midfielder
UMRI: 27
Cedric Bakambu (Villarreal)
NAFASI: Striker
UMRI: 25
No comments:
Post a Comment