Thursday, 14 December 2017

ARSENAL YAKUBALI KUTOA £35.3M KUMSAJILI STEVEN N'ZONZI

Arsenal have 'agreed' a £35million deal for Steven N'Zonzi, according to reports in SpainImeripotiwa kuwa Arsenal wamefikia makubaliano na Sevilla kumsajili kiungo wao Steven N'Zonzi katika dirisha la uhamisho Januari
N'Zonzi anaweza kupatikana kwa kitita cha paundi milioni 38 kulingana na mkataba wake, lakini chanzo cha Hispania El Gol kimedai kuwa Gunners hawajashawishika kutoa kiasi hicho.
Badala yake, inaaminika kuwa Arsenal wapo tayari kutoa £35.3m kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ambapo £32.7m itatolewa kama ada ya uhamisho na £2.6m kama bonasi.
Bosi wa Arsenal, Arsene Wenger anataka kuimarisha safu ya kiungo anapojiandaa na maisha bila ya Jack Wilshere, Mesut Ozil na Alexis Sanchez, ambao wote watakuwa wamemaliza mkataba mwisho wa msimu.
Liverpool na Everton nazo pia zimehusishwa na tetesi zakuitaka huduma ya kiungo huyo mkabaji, lakini habari kutoka Hispania zinadai kuwa Arsenal wameshinda mbio za saini ya nyota huyo.
N'Zonzi amewahi kupata uzoefu wa soka la Uingereza baada ya kucheza ligi hiyo miaka sita akiwa na Blackburn Rovers na Stoke City.Imeripotiwa kuwa Arsenal wamefikia makubaliano na Sevilla kumsajili kiungo wao Steven N'Zonzi katika dirisha la uhamisho Januari
N'Zonzi anaweza kupatikana kwa kitita cha paundi milioni 38 kulingana na mkataba wake, lakini chanzo cha Hispania El Gol kimedai kuwa Gunners hawajashawishika kutoa kiasi hicho.
Badala yake, inaaminika kuwa Arsenal wapo tayari kutoa £35.3m kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ambapo £32.7m itatolewa kama ada ya uhamisho na £2.6m kama bonasi.
Bosi wa Arsenal, Arsene Wenger anataka kuimarisha safu ya kiungo anapojiandaa na maisha bila ya Jack Wilshere, Mesut Ozil na Alexis Sanchez, ambao wote watakuwa wamemaliza mkataba mwisho wa msimu.
Liverpool na Everton nazo pia zimehusishwa na tetesi zakuitaka huduma ya kiungo huyo mkabaji, lakini habari kutoka Hispania zinadai kuwa Arsenal wameshinda mbio za saini ya nyota huyo.
N'Zonzi amewahi kupata uzoefu wa soka la Uingereza baada ya kucheza ligi hiyo miaka sita akiwa na Blackburn Rovers na Stoke City.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...