West Ham 0-0 Arsenal: wagonga nyundo wa London waliwashika
koo na Arsenal kwa kutoa sare nao bada ya kufanikiwa kuwapiga Chlesea lakini
bado wako kwenye nafasi zamwisho
Arsene Wenger alifanikiwa kuwaweka Jack Wilshere na Olivier
Giroud kwenye kikosi cha kwanza cha arsenal
West Ham alifanikiwa kuwashambulia sana katika mechi hiyo
lakini hawakuwa na nafasi kamili ya kushinda
Wagonga nyundo hawa walifanikiwa kufunga wakati Marko
Arnautovic alionekana kuotea na kusababisha muamuzi kuwakatalia
Nacho Monreal alikuwa ndio kiungo alikuwa anacheza kama
kiungo wa kati akimzuia Arnautovic lakini alikuwa akimchezea
Javier Hernandez alipiga shuti likapiga mlingoti na kurudi
uwanjani
mchezaji Alex Sanchez akiwa chini baada ya kuumia akiwa nawania mpira na mpinzani
Mchezaji Jack Wilshere akionekana kwa mara ya kwanza tangu May 2016
kiungo Elneny akifanya mazoezi ya kupasha mwili kabla hajaingia uwanjani
shuti la chicharito ambalo halikufanikiwa kuingia giloni
goli lagonga mwamba na kurudi uwanjani
No comments:
Post a Comment