Thursday, 7 December 2017

mama daimond asema ameolewa na pete anayo daimond asubiri mdogo wake

Mama Mzazi wa Diamond Aonyesha Pete ya Ndoa "Nimeolewa na Diamond Asubiri Mdogo Wake"
Mama yake na Diamond Platnumz, Bi Sanura, amethibitisha kuwa ameolewa. Kwenye mahojiano na Dizzim Online ambayo alionesha pete yake ya ndoa, Mama Dangote ameyapuuza maneno ya watu kuwa ameolewa na kijana mdogo.

“Ana udogo gani? Hana udogo yule, angekuwa mdogo asingeoa, mkubwa,” alisema. Alipoulizwa kama ana mpango wa kupata mtoto mwingine, mama huyo alisema, “Naseeb atapata mdogo wake siku yoyote, nyie hamtaki mdogo? Basi subirieni mdogo wenu wa mwisho.” 

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...