Thursday, 14 December 2017

man city aweka rekodi katika ligi kuu uingereza

Manchester City secured their 15th consecutive victory with a 4-0 win over Swansea at the Liberty Stadium on Wednesday
man city wakishangilia ushindi wao wa 15 mfululizo. 
Swansea 0-4 Manchester City: ambao wanapata shida wakiwa wanaalama chache wamehadhibiwa na city  na kuwafanya watoto wa Pep Guardiola kuwa na rekodi nzuri kwenye ligi ya uingereza.
 David Silva aliwafungulia milangi man city kwa dakika za mwanzo dakika ya 27Midfield playmaker De Bruyne dribbles with the ball as Swansea's Tom Carroll and Jordan Ayew look to make a tackle
Kiungo tegemezi wa klabu hiyo, Kevin De Bruyne, aliongeza goli kwenye ushindi wa klabu hiyo baada tu ya dakika 7
Silva tena akarudi kuonyesha hakubaatisha kwa kuvunja matumaini ya wapinzani tena kwa kucheka na nyavu zao.
Sergio Aguero, ambaye alicheza mbele muda wote akiwasumbua wapinzania alimalizia msumari wa mwisho kwa kufunga goli la 4
Ushindi huu unamaanisha Pep Guardiola kwa upande wake ameweka rekodi ya kutokufungwa kwa michezo 15 mfululizo
Swansea, wao wapo katika nafasi za chini kabisa katika msimamo wa ligi kwa maana ya kwamba wanahali mbaya Zaidi. 
The Spain midfielder chipped the ball beyond Fabianski to ensure City maintained their lead at the top of the Premier League
kiungo wa Man city akihakikisha goli linaingia bila shida yoyoteAguero attempts to hold off the attentions of Carroll during a goalless first quarter at the Liberty Stadium on Wednesday
Arguero akipambana na mpinzani kwenye kushinda mpira wakati wakicheza mechi yao na swansea

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...