Wednesday, 14 October 2015

ronaldo apata tuzo za mfungaji bora na kuweka rekodi dunia na kiatu chake cha nne

Cristiano Ronaldo poses with the European Golden Boot after becoming top scorer on the continent last term
viatu vya ronaldo alivyovipata 
The 30 year old watches as a bevy of beautiful ladies bring out his four Golden Boot awards
ronaldo akiangalia warembo waliokuwa wakileta viatu kwenye meza 
Ronaldo was jokingly frustrated when his son forgot his own name
ronaldo alitania kwa kusema alichanganyikiwa pale mwanaye aliposhindwa kujua jina lake mwenyewe 
Bernabeu president Florentino Perez was also present at the awards ceremony in Madrid
raisi wa bernabeu florentino perez alikuwa raisi katika hizo tuzo

Cristiano Ronaldo ametunukiwa kiatu cha Dhahabu kwa Ufungaji Bora huko Ulaya na kuweka rekodi kwa kutwaa kwa mara ya nne.
Katika msimu wa 2014/15, Ronaldo alifunga mabao 48 kwenye La Liga na kutwaa Buti ya Dhahabu kwa mara 3 akiwa na Real Madrid
Msimu wa 2007/08 akiwa na Manchester United alitwaa tena kiatu hicho baada ya kuwa mfungaji bora.
Hii ni mara ya kwanza katika Historia ya Miaka 47 ya Tuzo hii ya Buti ya Dhahabu kwa Mfungaji Bora wa Ligi za Ulaya kuichukua mara 4.
Ronaldo, ameifungia Real Jumla ya Mabao 323, na kufika Rekodi ya mabao mengi iliyokua imewekwa na mchezaji wa zamani wa timu hiyo Raúl González Blanco aliyekua kaifungia timu hiyo mabao 323.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...