Arsenal vs Tottenham Hotspur, uingereza ya kaskazini derby; arsenal aponea chupuchupu kulala uwanja wa nyumbani.
mshambuliaji kinda wa uingereza harry kane akishangilia baada ya kufunga goli la kuongoza kwa klabu yake
kikosi cha arsenal kilichoanza katika mechi yao dhidi ya totenham hotspurs
kikosi cha totenham hotspurs kilichoanza kwenye mechi yao dhidi ya arsenal
kocha na meneja wa arsenal anasema klabu yake ilishikwa vilivyo na klabu ya totenham uwanja wa fly emirate
No comments:
Post a Comment