mchezaji huyu anatarajiwa kurudi tena katika mchezo huo mwezi wa 10. mwaka huu baada ya kukosa michezo mingi
Tiger mchezaji huyu ameandamwa na upasuaji wa mara kwa mara hadi kufikia mwezi wa nane mwaka huu.
nyota huyu wa miaka 40 anayokazi kubwa ya kufanya ili kurudia nafasi yake ile ya mwanzo kwakua sasa ameshuka kutokana na kutokucheza
hapa tiger alikuwa akipewa huduma ya kwanza baada ya kupata maumivu ya mgongo na steven willium mwaka 2004
hilo ndilo kombe lake la mwisho mwisho kuchukua ikiwa ni mwaka 2008 na kukosa kombe la mwaka 2011 US OPEN
tiger alionekana kuumia baada ya kuupiga mzizi wa mti na bega lake kuteguka
No comments:
Post a Comment