Friday, 9 September 2016

fuatilia gari lako lilipotea kwa kutumia smart phone yako.


kwa zaidi ya kiasi cha milioni  1.5 kimeuzwa duniani kote, hii ni njia rahisi ya kuifuatilia gari yako.

hii ni nini?

kinaitwa TrackR. ni mjumuisho wa sanaa ambao unasaidia kulitafuta gari lako pindi linapotea. hii inasaidia ni kwajinsi gani tunahifadhi magari yetu.

kinafanyaje kazi?

ni rahisi wewe kiinsatll kwenye simu yako kwa free unganisha appilcation na simu yako pamoja na gari hapo sasa tayari kwa matumizi. mchakato mzima si zaidi ya dakika 5 

"kifaa hiki kimewasaidi wengi kwenye kuhifadhi pesa kwakua sio cha bei ghali!"


sahau kuhusu gharama za  GPS systems or tracking services. hakuna anayehitaji kulipa zaidi ya pesa alizonazo kwa mwezi

sio cha gharama sana ni dolla 29 ambayo ni Tsh. 63452 

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...