
JACOB AKITUPA KONDE KWA GENNADY GOLOVKIN KATIKA MPAMBANO MKALI ULIOFANYIKA KATI MIAMBA HIYO MIWILI.
GGG ameshinda katika round ya 12 baada ya kupata pointi nyingi kutoka kwa majaji ambapo miamba hii inarekodi nzuri sana kwenye mchezo huu wa ngumi,
majaji walitoa pointi ambazo hazikupishana sana na mpinzani wake.
kwa jinsi mpambano ulivyokuwa mkali na waushindani hakun aaliyeweza kutabiri nani mshindi mpaka mwisho wa mchezo kabisa ambapo mshindi alitangazwa kwakuwa upinzani ulikuwa mkubwa sana, kila mmoja akitetea rekodi yake

jacob akipenyeza ngumi nzito kwa GGG kwa ajili ya kujipatia uhakika wa pointi

GGG akimtupia Jacob konde zito kama malipizi ya kutetea alichokifanya Jacob ili kusawazisha pointi

hii ndio karatasi ya matokeo ya Majaji wa mchezo huu....
No comments:
Post a Comment