dembele aliisadia timu yake ya Dortmund kutinga robo fainali hivyo katika mchezo ule maskauti wa liverpool wanamuona kama mchezaji muhimu ambaye anaweza kuisaidia klabu ya liverpool
kinda hili lenye miaka 19 linaarajiwa kutua mwisho wa msimu huu baada ya klopp kuonyesha nia ya kumchukua
pamoja na kwamba dembele ameshaanza kuunganishwa na klabu kubwa nyingine kama Barceelona lakini kocha Klopp hataki kukata tamaa ya kumchukua na kumtumia katika kikosi chake
kocha klopp aliyeruka juu akiwapa motisha wachezaji wake katika mechi yao na klabu pinzani.
No comments:
Post a Comment