
Ronaldo akimpongeza casemiro baada ya kuifungia timu yao goli la ushindi
Karim benzema aliifungia real madrid goli la kuongoza baada ya kupata pasi kutoka kwa Ronaldo
Artiz Adruriz alifanya jitihada baada ya kuwashinda mabeki wa real
Inak william alipiga shuti la kushinda lakini goli kipa wa real madrid Navas alilichomoa
baada ya ushindi huu real madrid inaongoza ligi kwa tofauti ya pointi tano kutoka kwa wapinzani wao Barcelona
Aduriz akishangilia baada ya kuifungia timu yake goli la kusawazisha
Gareth bale na Daniel Carvajal wakimpongeza Karim Benzema baada ya kufunga goli dakika ya 25 ya mchezo
marcelo aliposti hii picha baada ya kupiga picha kwenye chumba cha kubadilia nguo baada ya ushindi wao
kocha zinedine zidane akimsalimu kocha wa Atletico bilbao Ernesto Valverde mwanzo tu kabla ya mchezo
kipa keylor Navas wa real madrid akichomoa shuti lililopigwa na wapinzani wake
cristian ronaldo akimpongeza mchezaji mwenzake Benzema baada ya kuifungia timu yao goli la kuongoza
ronaldo anatolewa zikiwa zimebaki dakika 11 na kuingia muispania Isco
No comments:
Post a Comment