Saturday, 1 April 2017

totenham yailaza Burnley goli 2 kwa 0, wanyama aumia


Totenham leo yaichapa Burnley goli 2 kwa 0 wakati huo timu zote hizi zikiwa wa mfumo wa (4-4-2) kwa Burnley na Tottenham (3-5-2) : 

Lloris 6; Dier 8.5, Vertonghen 7.5, Alderweireld 8; Trippier 6, Wanyama 6.5 (Dembele 44, 7), Eriksen 7, Winks 6.5 (Sissoko 45, 6), Davies 6; Alli 8, Janssen 6 (Son 73, 6)
Subs not used: Vorm, Walker, N’Koudou, Carter-Vickers

Goals: Dier (66), Son (77) 
Referee: Stuart Atwell 6









No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...