- Ignas hakuweza kuendelea na pigana na alisalimu amri raundi ya tano
- Bondia kutoka nchini Tanzania Salehe Mkalekwa (Welterweight), akiwa anashangaa ni nini kilichotendeka baada ya kulambishwa sakafu na Mkenya Rayton Okwiri .
- Mkenya Rayton Okwiri alinyakuwa ukanda wa Africa kitengo cha Welterweight alipomwangusha Mtazania Salehe Mkalekwa katika raundi ya tatu .
- Salehe Mkalekwa akiwa amelala chini baada ya ngumi nzito kutoka kwa Okwiri.
- Mkalekwa akisaidiwa na refa kuamka.
- Mkenya Nick ‘Kanyankole” Otieno akimenyana na Mtazania Haji Juma katika shindano la Super Flyweight, Nick aliibuka mshindi na kunyakuwa ukanda uliokuwa wazi.
- Mtanzania Haji Juma , akiwashukuru mashabiki waliojazana ukumbi wa Glown Plaza.
- Nick ‘Kanyankole” Otieno akiwa na ukanda aliyoshinda .
- Mkenya Gabriel Otieno(Kulia) na Mtazania Fadhili Majiha wakipewa mawaidha kabla ya pigano lao la ukanda wa Africa kitengo cha Bantamweight.
- Gabriel Otieno hakuwa na lake mbele ya Fadhili Majiha aliye mponda kisawasawa na kushinda.
- Fadhili alionyesha mchezo wa hali ya juu na kufungua jeraha katika paja la uso la Otieno aliyevuja damu kwa wingi.
- Gabriel Otieno akiwaza ni mbinu gani atatumia dhidi ya Fadhili.
- Ingawa Otieno alijitahidi, Fadhili alikuwa mwepesi kwa kila njia.
- Fadhili Majima akimtandika Gabriel Otieni makonde mazito
- Fadhili Majiha ni bondia aliye na uzoefu kwenye ulingo wa ndondi, akiwa ameshiriki kwenye mechi kadha za kulipwa ikiwemo nchini Ufilipino
- Fadhili Majiha akiwa na ukanda aliyoshinda .
- Mkenya Dennis ‘Bilabong’ Okoth akimenyana na Mtazania Shadrack Ignas kitengo cha super lightweight.
- Shadrack Ignas akilalama kwa refa Mohammed Abdalla Kent kuhusu jeraha kichwani mwa Okoth
Thursday, 13 April 2017
tazama jinsi mabondia wa tanzania walivyopigwa na wakenya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...
-
Wakati umemualika mwanamke sehemu unayoishi ama wakati umetoka deti katika bar, unapaswa kujua ya kuwa kumsisimua mwanamke huanza kabla ya...
-
Na Baraka Mbolembole Wawakili waTanzania Bara katika michuano ya ligi ya mabingwa Afrika, timu ya Yanga SC Jumamosi hii watakuwa na kib...
-
Mao alikuwa kiongozi Kichina Kikomunisti na mwanzilishi wa Jamhuri ya Watu wa China. Yeye alikuwa kuwajibika kwa sera za maafa ya ...
No comments:
Post a Comment