Wednesday, 2 August 2017

simba yachezea kichapo

Mchezo wa leo wa Simba ambao umepigwa katika uwanja wa Orlando uliopo katika mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini ni mchezo wa kwanza wa kirafiki kwa klabu ya Simba katika maandalizi ya Simba Day 
Baadhi ya mashabiki wa Simba wamepokea matokeo hayo kama changamoto katika kikosi chao huku wengi wakisema kuwa mchezo huo umesaidia kuimarisha kikosi chao na kuwafanya wachezaji kuwa pamoja.
Klabu ya Simba ni moja ya kati ya timu ambazo msimu huu zimesajili wachezaji wengi ikiwa ni lengo la kuimarisha kikosi hicho kuelekea katika msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2017/2018.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...