Monday, 19 October 2015

lowasa tunduma tena - mgombea wa chadema edward lowasa arudi tunduma mafuriko

Tunduma leo jumatatu tarehe 19/10/2015. Muda huu asubuhi Lowassa anaurudia ule mkutano wa juzi uliohairishwa. Watu ni balaa.
Asubuhi ni hapa Tunduma, mchana atakuwa Rungwe na jioni balaa linaangamiza Kyela

lowasa Tunduma Again--Lowasa Arejea Tena kwa kishindo baada ya juzi mitambo kukorofisha





Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja shule ya msingi Tunduma kwa ajili ya mkutano wa kampeni huku akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA na UKAWA,akiwemo mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Kingunge Ngombale Mwiru,Jumatatu 19/10/2015
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. Freeman Mbowe akiongea na wananchi wa Tunduma,Jumatatu 19/10/2015 katika viwanja vya shule ya msingi Tunduma
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma katika mjini wa Tunduma mkoani Mbeya

Name:  1.jpg
Views: 5615
Size:  52.0 KB
Name:  2.jpg
Views: 5600
Size:  30.5 KB

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...