mchezaji wayne rooney akipata tabu sana katika mchezo wake na klabu ya cska moscow akiwa mbele mwenyewe
MANCHESTER UNITED
David de Gea 7.0
hasingeweza kufanya lolote bada ya kuokoa ule mpira na kuzidiwa na mchezaji wa moscow
wasiwasi ulizidi sana pale ambapo mchezaji marshal aliporudi nyuma kuja kumsaidia rojo lakini sasa akasababisha tatizo ila
walishangaa sana pale ambapo marshal aliweza kurudisha
goli alilolifunga marshal baada ya kupata nafasi kwa kichwa kizuri na kusawazisha
fellain akiwania mpira na mchezaji wa cska moscow
No comments:
Post a Comment