Aston Villa vs Manchester City matukio:Remi garders kwake yeyey ni faida kwa kutokufungwa kutokana na ugeni wake
Aston Villa 0 Manchester City 0
kocha emanuel pallegrin alikuwa na nafasi kubwa ya kushinda zaidi kuliko kocha wa aston villa kwasababu ya ugeni wa kocha wa aston villa
raheem sterling akiwa katika masikitiko baada ya kukosa goli
manchester city walianza taratibu sana katika kipindi cha kwanza ila baada ya kipindi cha kwanza kuisha manchester walirudi mchezoni ila mchezaji wao Jesus Navas alikuwa anawaangusha
kevin de bruyne akikosa goli la wazi lenye kuipa timu yake ushindi wa nguvu
kevin de bruyne akikosa goli la wazi lenye kuipa timu yake ushindi wa nguvu
kocha mpya wa aston villa Remi Garde
Aston Villa: Guzan, Hutton, Richards, Clark, Amavi, Gana, Veretout, Sanchez, Gil, Ayew, Sinclair
Subs: Bunn, Bacuna, Lescott, Richardson, N'Zogbia, Gestede, Grealish
Man City: Hart, Sagna, Kompany, Otamendi, Kolarov, Fernando, Fernandinho, Toure, De Bruyne, Sterling, Bony
Subs: Caballero, Demichelis, Mangala, Clichy, Delph, Navas, Iheanacho
No comments:
Post a Comment