Jose Mourinho: huu ni wakati wangu na sasa wachezaji wadogo kwenye klabu ya chelsea hawataonewa tena na sijawahi kuonewa nikiwa shuleni
- mashabiki wa chelsea wanaimba wimbo wa "special one"
- morinho anasema mapokezi haya si yakufanananishwa na mapokezi mengine yoyote
- chelsea imeifunga Dynamo kiev na kushika nafasi ya pili kwenye kundi
- Chelsea beat Dynamo Kiev to move into second place in group
mchezaji willium alimpa matumaini morinho baada ya kufunga goli kwa mpira wa adhabu na kuwezesha morinho kusalia kwenye kiti cha umeneja kwenye klabu hiyoo maneno haya kasema morinho
pia mashabiki wa klabu hiyo walimuhitaji sana kocha huyo baada ya kuimba tutasimama kwa the special one
picha ya kocha wa chelsea akishirikiana na mashabiki wa timu hiyo kuimba wimbo wa kumpa matumaini ya kubaki klabuni
kocha morinho akisimama kuonyesha kutopendezeshwa na timu yake kunyimwa penati ya wazi kwenye mchezo wao dhidi ya Dynamo kiev
mashabiki wa klabu ya chelsea wakiwa na bango lao kuashiria kuwa na imani na kocha huyo
No comments:
Post a Comment