Jesse Lingard:loius van gal ametuambia tuyapuuzie maneno ya mashabiki katika mechi ya manchester dhidi ya CSKA Moscow
kwenye mtandao wa Twitter mashabiki wa Manchester United's wamekasirishwa na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya CSKA Moscow
kocha huyu mdachi mwenye umri wa miaka 64 aliwaambia wachezaji wake wasisikilize maneno ya mashabiki baada ya mechi yao na moscow hii ilitokea baada ya watu kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha kutofurahishwa na kitendo cha kopcha huyu kumtoa mchezaji marshial na kumuingiza fellain
mashabiki wengi hakupenda mchezaji wa hali kama hile kutilewa pamoja na kwamba nafasi anayopewa mchezaji siyo inayomfaa kama akiwa mbele kabisa kuliko kutokea pembeni iliyofanya kupata ushindi mwembamba sana ndugu
mashabiki wamediriki kusema hata huyu kocha afukuzwe haiwezekani kung'ang'ania mfumo wake wakati haufanyi kazi kabisa
yeye anaanimi kwenye kukaa nna mpira na siyo ushindi kama ilivyo kawaida
No comments:
Post a Comment