Thursday, 15 September 2016

hii ndio miji kumi mizuri dunia



Venice
katika dunia kuna miji ambayo ni mizuri kupita maelezo ukiwa huko unaona raha za dunia hii, ni maeneo ambayo watu wengi hupenda kwenda kupumzika
list ya miji hiyo hii hapa.........

1 | VENICE, huo hapo juu ndio muonekano wake, huu ni mji ambao uko huko italia, unafurahisha ukiuona kwakua majengo yake yote yamejengwa kiufundi na kunakshiwa vizuri, ukiwa katika maji haya unaona dunia nzuri na pia unapata kupumua vuzuri.

2 | PARIS

Parisni mji ambao unapatikana nchini ufaransa ina sanamu zinazovutia kwa upande wa kiume na upande wa kike waliokwenda hapa wanasema ni mji ambao unastarehe sana, anasa zote zinafanyikia hapa.

3 | PRAGUE

huu upo jamhuri ya czech 

Prague

4 | LISBON

 huu mji upo ufaransaLisbon

5 | RIO DE JANEIRO

huu mji upo brazili

Rio de Janeiro

6 | AMSTERDAM

 huu mji upo uholanziAmsterdam

7 | FLORENCE

 huu mji upo italiaFlorence

8 | ROME

huu pia upo italia

Rome

9 | BUDAPEST

huu mji upo hungary 

Budapest 

10 | BRUGES

huu ni mji ambao uko huko ubelgiji kwa muonekano ni mdogo ila kwa urembo ni mkubwa kwa aina yake

Bruges

 

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...