Thursday, 15 September 2016

RAISI MPYA UEFA: ALEKSANDER CAFERIN

Michael van Praag and Aleksander Ceferin

Aleksander caferin kulia akimshika mkono mpinzania wake Michael van Praag kushoto.
raisi huyu mpya alikuwa na dukuduku muda mrefu sasa amepata nafasi na ameanza kuonyesha mipango yake ya kuirekebisha yuefa baada ya kiongozi aliyepita platin kukutwa na kashfa ya rushwa na kushindwa kuongoza hii klabu.

rekodi zinaonyesha kwamba huyu jamaa anafanya mambo makubwa sana na alishafanya mambo makubwa zaidi kipindi akiwa kiongozi wa mpira.
sasa wanamichezo wengi wanaona kuwa hii ni nafasi kubwa sana kwa mapinduzi ya michezo hapa ulimwenguni.
Michel Platini
 anasema anakuja kurekebisha makosa ya platin
Aleksander Ceferin

Mkuu wa chama cha soka cha Slovenia, Aleksander Ceferin kushinda uchaguzi wa Urais wa chama cha soka barani Ulaya UEFA katika uchaguzi utakao fanyika Athens nchini Ugiriki.
Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu vya Ceferin vimeiambia BBC kuwa ana karibu waungaji mkono 40 wa awali kutoka nchi 55 wanachama wa UEFA.
Mpinzani wake mkuu ni Mdachi Michael van Praag ambaye ni mwanachama wa kamati ya utendaji na aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya Ajax ya nchini Uholanzi.
Aliyekuwa Rais wa shirikisho hilo ambaye yupo kizuizini kwa sasa kwa madai ya kukiuka sheria za maadili Michel Platini anajiandaa kuhutubia kabla ya uchaguzi baada ya kupata ruhusa maalum ya kutoa hutuba fupi kutoka bara za la maadili la UEFA.
Mfaransa huyo alizuiliwa kujihusisha na soka kwa muda wa miaka minne baada ya kugundulika kuwa amepokea karibu Euro milioni 1.6 malipo yaliyoidhinishwa na aliyekuwa Rais wa uefa Sepp Blatter mwaka 2011


Michel Platini
Michel Platini

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...