Saturday, 10 September 2016

real madrid 5-2 osasuna

Cristiano Ronaldo celebrates with Gareth Bale after scoring Real Madrid's first goal
gareth bale akishangilia na cristian ronaldo walipofunga goli dhidi ya osasuna (GOLI ALILOFUNGA RONALDO BAADA YA KUINGIA LEO KUTOKA MAJERUHI)
Real Madrid imejiwekea historia kwa kushinda michezo 15 mfululizo billa kufungwa kwenye ligi kuu ya hispania. baada ya kuifunga osasuna kwenye uwanja wa Bernabeu.
magoli ya osasuna yakifungwa na O Riera (64),D Garcia (78),wakati mchezaji C Bonnin Vasquez akipewa kadi nyekundu dakika ya 79 
magoli yaliyofungwa na Cristiano Ronaldo, Danilo na Sergio Ramos yaliifamfanya Zinedine Zidane aende na ushindi kwenye mapumziko kwa 3-0 
Pepe naye tena akirudi kwa kupiga kichwa dakika ya 55, kabla ya Luka Modric kuongeza msumari wa mwisho.
Real Madrid's defender Sergio Ramos celebrates after scoring.
ramos ashangilia goli lake baada ya kushinda
Real Madrid's Portuguese defender Pepe celebrates scoring his side's fourth goal.
mreno huyu pepe naye akionyesha furaha yake baada ya kuifungia klabu yake
Real Madrid's coach Zinedine Zidane entered the history books.
zinedine zidane aingia katika kitabu cha historia. ushindi huu unamuweka sawa na kocha Miguel Munoz's 1960/61 ambaye naye aliweza kushinda mechi 15 mfululizo. 

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...