Saturday, 10 September 2016

Tetemeko la ardhi lakumba Tanzania

Tetemeko hilo lilisikika maeneo ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania
Tetemeko la ardhi lenye uzito wa 5.7 katika vipimo vya richa limekumba eneo la Kaskazini Magharibi mwa Tanzania karibu na ziwa Victoria.
Majengo kadha yanaripotiwa kuharibiwa katika miji iliyo karibu.
Hata hivyo hakuna taarifa zaidi za kuwepo maafa . Mitetemeko mingine midogo pia ilisikika katika mataifa jirani ya Kenya na Rwanda
source: bbc

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...