Sunday, 19 March 2017

Mke wa Essien anunua klabu huko Italia

Michael EssienHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMichael Essien
Mke wa aliyekuwa mchezaji wa Ghana Michael Essien ameinunua klabu ya ligi ya tatu Como ,kulingana na klabu hiyo.
Akosua Puni Essien ameripotiwa kulipa pauni 206,000 katika mnada wa klabu hiyo iliofilisika.
COMO, ITALY - APRIL 01:  General view of the Stadio Giuseppe Sinigaglia before the NextGen Series final match between Chelsea and Aston Villa at Stadio Giuseppe Sinigallia on April 1, 2013 in Como, Italy.  (Photo by Getty Images/Getty Images)
kiwanja cha klabu hiyo ya como iliyoko italia.
Mmiliki mpya na timu yake sasa ana mpangowa kuimarisha kikosi cha kwanza pamoja na ile timu ya vijana kukuwa.
Wataweka juhudi za kuifanya kurudi katika Serie B na kukuza vipaji vya vijana waliomo.
Puni Essien amejielezea kuwa mfanyibiashara ,mshauri, mtu anayependa kusaidia na mama wa watoto watatu.
Como imeshiriki mara kadhaa katika ligi ya daraja la kwanza ya Seria A ,ikiwa imecheza sana kati ya 1984 hadi 1989 na hivi majuzi ikiwa 2002-2003 ambapo walishushwa daraja baada ya msimu mmoja.
Walishushwa daraja hadi ligi ya daraja la tano baada kufilisika
Essien has joined Persib Bandung in Indonesia.
michael Essien bado amesaini mkataba na klabu mpya huko indonesia kwa mwaka mmoja klabu hiyo ni Persib Bandung

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...