Thursday, 13 April 2017

bondia joshua ajiandaa na mechi yake ijayo

Anthony Joshua, right, exchanges punches with Eric Molina during their IBF World Heavyweight Championship fight at the Manchester Arena
ANTHONY JOSHUA AKIMRUSHIA KONDE BONDIA ERIC MOLINA

CHAKULA ANACHOKULA BONDIA JOSHUA AKIJIANDAA NA MECHI YAKE IJAYO.
Kwa kila kilo 113 ya mwili wa Joshua inahitaji kuanzia  gramu 6 hadi 8 za wanga, gramu 2 za protini na gramu 1 ya mafuta.
Anthony Joshua (L) of London knocks down Eric Molina of the United States during their IBF World Heavyweight Championship fight at Manchester Arena


wataalamu wamefanikiwa kwa kusema lishe waliyompangia joshua ilifanya kazi hadi kuweza kumpiga eric molina.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...