Katibu wa Rais, Ngusa Samike akiwasilisha mchango wa Sh. milioni 15 kwa mwigizaji Wastara Juma kutoka kwa Rais John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. hii ni baada ya wastara kupaza sauti kutokana na matatizo yanayomkumba kila mara na watu wamemsikia
Historia yake ni ndefu sana.
Historia yake ni ndefu sana.
No comments:
Post a Comment