Showing posts with label BURUDANI. Show all posts
Showing posts with label BURUDANI. Show all posts

Friday, 26 January 2018

vanessa mdee asema amejitoa muhanga

Malkia wa Bongo Fleva anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi, Vanessa Mdee amesema amejisikia faraja kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki albamu japokuwa anahisi amejitoa muhanga kwa maana hafahamu kama itakuja kumlipa.
Vanessa amebainisha hayo wakati alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya muda mchache kupita tokea alipomaliza kufanya mapitio ya albamu yake iliyopewa jina la 'Money Monday' na kusema amesikia kelele nyingi kwa baadhi ya wasanii kwamba albamu bongo haiuzi.

"Nimefanya 'research' kwa muda mrefu sana na nimekugundua kwamba hakuna mfumo unao-support mauzo ya albamu lakini nikasema kama ninataka kukamilika kama msanii huko ninapoelekea na vitu ninavyotegemea kufanya sitaweza kuvikamilisha bila ya kuwa na 'CV' ya kusema kwamba nami nina albamu", alisema Vanessa.

Pamoja na hayo Vanessa ameendelea kwa kusema "mwisho wa mwaka huu 2018 nategemea kuachia nyingine jumla nitakuwa nazo mbili 'so' sijaweka uoga mbele nimeweka vitendaji kazi, 'i want people to see' nina uwezo wa kufanya vitu vingi na nimefanya 'risk'kwa sababu bado sijajua kama itanilipa lakini mpaka sasa hivi naona kama malipo yapo".

Kwa upande mwingine Vanessa amewashauri wasanii wenzake waache kusikiliza kelele za watu zinazodai kuwa albamu bongo hazifanyi vizuri huku akiwaomba mashabiki wake kuendelea kumpa ushirikiano wa kununua kazi yake hiyo ambayo inauzwa kwa njia ya mitandaoni na mkononi.

Thursday, 25 January 2018

nimejaribu kuacha mziki nimeshindwa


                              
Rapper huyo ameiambia Funiko Base ya Radio Five kuwa hana mpango wa kuacha muziki kwa sasa ila ni kitu ambacho amewahi kujaribu.

“Nina albamu mbili halafu hata moja haikwenda sokoni lakini bado narekodi, sichoki kurekodi am keeping recording ndio maana nawahaidi watu Load Eyes hawezi kuacha muziki,” amesema.
“Hata mimi nimejaribu kuacha muziki nimeshindwa kwa sababu muziki ni maisha yangu hata nikitaka kuacha nashindwa kwa sababu watu wananisumbua kuhusu muziki,” amesisitiza.
Loard Eyes kwa sasa anatamba na ngoma ‘Hardcore’ ambayo wamefanya kundi la Nako 2 Nako.

Tuesday, 5 December 2017

wachezaji wa ulaya na asili zao

FRANCE
Gomis- Senegal
Dembele-Mali
Evra -Senegal
Sagna- Senegal
Pogba -Guinea
Mbappe -Cameroon
Koscienly- Poland
Rami    - Morroco
Umtiti -Cameroon
Kante -Mali
Fekir -Algeria
Mandanda -Congo DRC
Sissoko  - Mali
Matuidi - Angola
Ben arfa -Tunisia
GERMANY
Sane -Senegal
Boateng- Ghana
Khedira- Tunisia
Can -Turkey
Ozil -Turkey
Gnabry-Ivory cost
SPAIN
Costa  -Brazil
Alcantara- Brazil
PORTUGAL
W.Carvalho- Angola
R.Sanchez-cape verde
Nani -Cape verde
Eder - Guinea Bissau
Pepe -Brazil
BELGIUM
Origi  -Kenya
Lukaku  CongoDRC
Benteke -Congo DRC
Fellaini -Morroco
Batshuayi -Congo DRC
Chadli- Morocco
ITALY
Balotelli  -Ghana
El shaarawy- Egypt
T motta- Brazil
Eder  -Brazil
ENGLAND
Sterling -Jamaica
Sturridge-Jamaica
Dele       -Nigeria
Welbeck- Nigeria
NETHERLANDS
Afellay- Morocco
ARGENTINA
Higuain-france
SWITZLAND
Alaba- Nigeria
CROATIA
Rakitic- Switzland

Friday, 1 December 2017

Abdukiba Afunguka kuhusu kaka Yake Alikiba

Alikiba Amenifanya Chambo na Sio Kupendelewa- AbdukibaMsanii Abdu Kiba ambaye ni mdogo wa Alikiba, amesema kitendo cha yeye kuachia kazi mpya badala ya wasanii wengine wapya waliopo kwenye lebo ya Kings Music iliyo chini ya kaka yake Alikiba ni kama chambo na sio kupendelewa kama wengi wanavyohisi.

Abdu Kiba ameyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kwamba lebo iliamua kuanza kumtoa yeye ili kuangalia upepo utaendaje, kwani alikaa kimya sana kwenye game licha ya kuwa tayari ana mashabiki wake.
“Nimeanza mimi kutokana na ukimya wa muda mrefu, wasanii wapya wapo lakini isingekuwa vyema kukurupuka kuwaleta, mimi nimetumiwa kama chambo kwamba tuwalete kuangalia na mapokezi yatakuwaje, sio chambo kama nimetupwa”, amesema Abdu Kiba.
Hivi sasa msanii huyo ameachia wimbo wake mpya aliomshirikisha Alikiba unaoitwa 'Single', ambao ni kazi yake yake ya kwanza chini ya lebo ya Kings Music ambayo inamilikiwa na kaka yake Alikiba,

Friday, 9 September 2016

wanawake wazuri nchini marekani wahorodheshwa

kuna wanawake washuhuri sana huko nchini marekani wenye maumbo mazuri sana lakini utafiti umeonyesha kwamba wanawake wenye matiti mazuri ni hawa kumi hapa kutoka katika waigizaji kwenye hollywood

1. Kate Upton


2. Kim Kardashian

3. Olivia Munn

4. Katy Perry

5. Rihanna

6. Sofia Vergara

7. Halle Berry

8.Jennifer Aniston

9. Emmanuelle Chirqui

10. Scarlett Johansson


Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...