Thursday, 14 December 2017

Tatizo la ukosefu wa ajira lapungua

Mkurugenzi wa Shughuli za Takwimu, NBS Irineus Ruyoby amesema kwa mujibu wa takwimu walizonazo kwa sasa zinaonyesha tatizo la ukosefu ajira linaenda likipungua mwaka hadi mwaka.
“Takwimu ambazo tunazo zinaonyesha kiwango cha watu ambao hawaja ajiriwa kimepungua mwaka hadi mwaka, sasa hivi tupo katika kufanya tafiti nyingine tutaweza kujua hali halisi sasa ikoje” amesema.
Ameongeza kuwa uchumi wa Tanzania kwa sasa unaendelea kukua kwa kiwango cha wastani wa asilimia saba kwa mwaka na imekuwa hivyo kwa muda mrefu sasa.
SOURCE: BONGO5

msikilize adamu mchomvu alivyopandisha mori kwa msani wa marekani kukopi bongo

ajinyonga kisa kukataliwa na mpenzi wake

Ajinyonga Kisa Kukataliwa na Mpenziwe
MKAZI wa kitongoji cha Ndondobya katika kijiji cha Fubu, Kyela mkoani Mbeya, Labson George (22), amejiua kwa kujinyonga na mtandio kwa madai kuwa mwanamke aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu kukataa kuoana naye.

Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Abdul Mwamafupa, alisema kijana huyo alikuwa na uhusiano wa muda mrefu na Violet Joseph na inadaiwa kuwa alipomfuata na kupanga kumweleza kuwa waoane, alikataa.

Kutokana na hatua hiyo, alisema George alimnyang’anya mtandio na kutokomea kusikojulikana hadi alipokutwa saa 10:00 jioni pembezoni mwa Mto Mbaka akining’inia juu ya mti akiwa amejinyonga.

Baada ya tukio hilo, alisema serikali ya kijiji ilitoa taarifa polisi ambao walifika wakiwa na daktari na kumtoa kwenye mti aliokuwa amejinyonga.

Mwamafupa alisema kumekuwapo na uvumi mitaani kuwa chanzo cha kijana huyo kujiua ni kutokana na kumfumania mpenzi wake akifanya ngono na mwanamume mwingine vichakani.

Hata hivyo, alisema habari hizo si za kweli bali alijinyonga baada ya mpenzi huyo kukataa kuoana naye akimhisi kijana ana michepuko mingi.

“Kijana huyu kabla umauti haujamkuta aliandika meseji kwa dada yake anayeishi Iringa kuwa ‘Dada yule mwanamke Violet niliyepanga kuoana naye amenikataa ghafla, naamua kujiua ili nisiwepo tena duniani maana amekula pesa zangu nyingi, nahisi amepata wengine’’, alisema.

Alisema baada ya kumtoa kwenye mti walikagua mfukoni na kukuta barua ikiwa na ujumbe kuwa ameamua kujiua kwa sababu mwanamke amekataa kuolewa naye wakati amekula pesa zake nyingi, hivyo hakuona sababu ya kuendelea kuishi duniani kuendelea kuwa na machungu.

Akizungumzia tukio hilo, Violet aliyekuwa mpenzi wa Joseph, alisema chanzo cha kukataa kuoana naye ni kwamba alikuwa na wanawake wengi kutokana na umaarufu alio nao wa kucheza mpira wa mchangani, hivyo alihofia kupata magonjwa  na kufa na kumuacha mama yake ambaye ni mlemavu bila msaada.

Joseph Mwambunga, baba mzazi wa msichana huyo, alimweleza mwandishi wa habari hii kwamba kijana huyo alikuwa na uhusiano wa muda mrefu na binti yake na aliwahi kumfuata na kumweleza kuwa amuoe aache kumchezea na baada ya hapo akashangaa siku iliyofuata amejinyonga.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Mohammed Mpinga, licha ya kukiri kuwapo  tukio hilo, alitoa rai kwa wananchi kuacha kuchukua uamuzi mgumu wa aina hiyo na kusema kama mtu mpenzi amemkataa, anapaswa kuvuta subira na kutafuta namna ya kumbembeleza, lakini si kujiua.

Mwili wa kijana huyo ulizikwa jana kijijini hapo baada ya vipimo vya kitabibu na uchunguzi wa kipolisi kukamilika hivyo kubainika kuwa alijinyonga kwa mtandio

jokate awafunda vijana katika kutumia muda wao vizuri

Jokate ambaye ni mjasiliamali pamoja na mhamasishaji haswa kwa vijana, kwa sasa yupo katika kampeni ya kuwakumbusha vijana wajibu wao ili waweze kujitambua kupitia kampuni ya Sahara Group inayo saidia kuwapa Elimu vijana juu ya mustakabali wamaisha yao.
''Vijana wasitumie mitandao ya kijamii kujua kuwa Jokate amevaaje leo, au kaweka nywele gani , inatakiwa watafute taarifa mbalimbali ambazo kila wakati hutolewa katika 'Internet' ili ziweze kuwapa ufahamu na pengine kuwasaidia,'' amesema.
Pia Jokate ameendelea kuzungumza kwa kusema, ''Ni vizuri kijana kuwa na kazi yake akijiamulia mwenyewe kwamba leo afanye kazi gani na afanye nini anakuwa huru sana,'' ameongeza
Aidha ameongeza kwa kusema kuwa njia sahihi ya elimu kwa vijana juu ya kujitegemea ianzie vyuoni ili wakati wanapomaliza wanakuwa tayari wameweza kujua njia sahihi ya kuji kwamua.

bayern yaongoza kwa ushndi mwembamba wa goli 1 la mchezaji machachari


Bayern: Starke, Rafinha, Boateng, Sule, Alaba, Tolisso (Rodriguez 46), Rudy, Vidal (Coman 46), Muller, Ribery (Kimmich 76), Lewandowski
Subs not used: Hummels, Martinez, Weinkauf, Okyere Wriedt
Goals: Lewandowski 60
Bookings: None

Cologne: T Horn, Sorensen, Mere, Heintz, Olkowski, Ozcan, Lehmann (Clemens 85), J Horn (Kusic 76), Jojic, Klunter, Handwerker (Fuhrich 66)
Subs not used: Risa, Muller, Ouahim, Bisseck
Goals: None
Bookings: None





makahaba kihama chatangazwa

Muku wa wilaya ya Bunda mkoani Mara, Bi. Lydia Bupilipili ameliagiza jeshi la polsi wilayani humo kuendesha msako wa watu wanaofanya biashara ya ukahaba nyumba kwa nyumba. Bi. Bupilipili ametoa agizo hilo katika kijiji cha Kunzugu alipokuwa anazungumza ikiwa ni siku ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi wilayani humo, ambayo pia iliadhimishwa kwa kupanda miti.
Mkuu huyo wa wilaya amewataka polisi kupita nyumba kwa nyumba kwenye nyumba za wageni, na kuwasaka wanawake ambao wanadaiwa kukodisha nyumba hizo kwa ajili ya kuendesha biashara za ukahaba.

simba yaendelea na mazoezi baada ya kupangwa na Gendamarie

Leo ni siku ya kwanza kikosi cha Simba kimeendelea ikiwa ni baada ya kujua itacheza na nani katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Simba imepangwa kuanza na Gendamarie ya Djibouti ambayo si timu ngumu sana ingawa haitakiwi kudhauliwa.

Simba imeendelea kujifua kujiandaa na Ligi Kuu Bara katika mazoezi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jeshi la Polisi, Kilwa Road jijini Dar es Salaam.

Simba imekuwa ikifanya mazoezi kwenye uwanja huo kuhakikisha kikosi chake kinakaa vizuri.

Kwa takribani wiki moja, kikosi cha Simba kipo chini ya Kocha Msaidizi Madoud Djuma raia wa Rwanda.

Kocha huyo amekuwa akitoa mazoezi mbalimbali na zaidi ni yake ya kutaka wachezaji kuwa na wepesi pia ya ufundi katika ufungaji na kuzua kulingana na hali halisi.

Simba wamtaka mtambo wa magoli wazidi kujipanga, dirisha dogo sasa ni zamu ya Kassim Khamis

Image result for Kassim Khamis mchezaji
 
Simba imekaribia kuinasa saini ya mshambuliaji wa Zanzibar Heroes Kassim Khamis ambaye ameonyesha uwezo mkubwa kwenye ufungaji
Klabu ya Simba, ipo mbioni kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Zanzibar Heroes Kassim Khamis, ambaye ameonyesha kiwango bora katika michuano ya Kombe la Chalenji ambayo inaendelea nchini Kenya.
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba Zacharia Hans Poppe  ameiambia Goal, kila kitu kinakwenda vizuri na wanatarajia kumalizana na mchezaji huyo muda wowote kuanzia leo.
"Tunataka kufukuzana na muda kwasababu dirisha linafungwa Ijumaa, kwahiyo tutahakikisha kesho baada ya mechi ya nusu fainali dhidi ya Uganda anasaini fomu za kuichezea Simba kuanzia ligi itakapoendelea na huo kuwa usajili wetu wa tatu baada ya Jonas Sakuwah na  Asante Kwasi,"amesema Hans Poppe.
Straika huyo anayeitumikia Klabu ya Tanzania Prisons ya jijini Mbeya, amecheza mechi mbili pekee kwenye mashindano hayo kabla ya kuumia na kukosa mechi mbili zingine. Katika mechi hizo alizocheza, amefunga mabao mawili dhidi ya Rwanda na Kilimanjaro Stars.
Kocha Msaidizi wa Simba, Mrundi, Masud Djuma, amesema katika kufuatilia kwake michuano hiyo, katika wachezaji wazawa amevutiwa na Khamisi kutokana na uchezaji wake pamoja na ushirikiano na wenzake anapokuwa uwanjani.

HIMID MAO AMALIZANA NA BIDVEST WITS YA AFRIKA KUSINI

Kiungo mkabaji wa klabu ya Azam, Himid Mao, amefuzu majaribio ya kujiunga na klabu ya Bidvest inayoshiriki Ligi kuu ya nchini Afrika Kusini na yuko mbio kwenda kumalizana nao inayoshiriki Ligi kuu ya nchini Afrika Kusini na yuko mbio kwenda kumalizana nao

Himid Mao - Tanzania

heri ya kuzaliwa Taylor Alison Swift.

Happy 28th Birthday to the 10x Grammy winning, gorgeous, talented and one of most iconic female artists in the music industry, Taylor Alison Swift. 👑

raisi magufuli awataka wasanii kutovaa nguo nusu uchi

DODOMA: Rais Magufuli akerwa na wasanii wanaovaa nusu utupu na kuacha sehemu za miili yao wazi kwenye video za muziki > Aitaka kuvichukulia hatua vituo vya runinga vitakavyocheza video za aina hiyo
"Kila ukifungulia mziki, wanaume wanacheza wakiwa wamevaa, sana sana wataachia kifua waonekane six pack, lakini wanawake waliowengi wanaachia viungo vyao"- Rais Dkt MagufuliJP

maisha ni safari angalia tulikotoka


tulikotoka ni mbali na tunakoenda mbali

kufika huku je?

unywaji wa soda ni hatari kwa afya yako

Utafafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Boston umebaini kunywa kinywaji kimoja chenye sukari kilichosindikwa kiwandani mfano soda kunaongeza hatari ya kupata Kiharusi (Stroke) kinachotokana na damu kuganda kwenye mishipa ya damu ikilinganishwa na watu wasiokunywa vinywaji hivyo.

kweli vyuma vimekaza wadau


ARSENAL YAKUBALI KUTOA £35.3M KUMSAJILI STEVEN N'ZONZI

Arsenal have 'agreed' a £35million deal for Steven N'Zonzi, according to reports in SpainImeripotiwa kuwa Arsenal wamefikia makubaliano na Sevilla kumsajili kiungo wao Steven N'Zonzi katika dirisha la uhamisho Januari
N'Zonzi anaweza kupatikana kwa kitita cha paundi milioni 38 kulingana na mkataba wake, lakini chanzo cha Hispania El Gol kimedai kuwa Gunners hawajashawishika kutoa kiasi hicho.
Badala yake, inaaminika kuwa Arsenal wapo tayari kutoa £35.3m kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ambapo £32.7m itatolewa kama ada ya uhamisho na £2.6m kama bonasi.
Bosi wa Arsenal, Arsene Wenger anataka kuimarisha safu ya kiungo anapojiandaa na maisha bila ya Jack Wilshere, Mesut Ozil na Alexis Sanchez, ambao wote watakuwa wamemaliza mkataba mwisho wa msimu.
Liverpool na Everton nazo pia zimehusishwa na tetesi zakuitaka huduma ya kiungo huyo mkabaji, lakini habari kutoka Hispania zinadai kuwa Arsenal wameshinda mbio za saini ya nyota huyo.
N'Zonzi amewahi kupata uzoefu wa soka la Uingereza baada ya kucheza ligi hiyo miaka sita akiwa na Blackburn Rovers na Stoke City.Imeripotiwa kuwa Arsenal wamefikia makubaliano na Sevilla kumsajili kiungo wao Steven N'Zonzi katika dirisha la uhamisho Januari
N'Zonzi anaweza kupatikana kwa kitita cha paundi milioni 38 kulingana na mkataba wake, lakini chanzo cha Hispania El Gol kimedai kuwa Gunners hawajashawishika kutoa kiasi hicho.
Badala yake, inaaminika kuwa Arsenal wapo tayari kutoa £35.3m kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ambapo £32.7m itatolewa kama ada ya uhamisho na £2.6m kama bonasi.
Bosi wa Arsenal, Arsene Wenger anataka kuimarisha safu ya kiungo anapojiandaa na maisha bila ya Jack Wilshere, Mesut Ozil na Alexis Sanchez, ambao wote watakuwa wamemaliza mkataba mwisho wa msimu.
Liverpool na Everton nazo pia zimehusishwa na tetesi zakuitaka huduma ya kiungo huyo mkabaji, lakini habari kutoka Hispania zinadai kuwa Arsenal wameshinda mbio za saini ya nyota huyo.
N'Zonzi amewahi kupata uzoefu wa soka la Uingereza baada ya kucheza ligi hiyo miaka sita akiwa na Blackburn Rovers na Stoke City.

arsenal wenger akabwa koo na Westham

West Ham forward Javier Hernandez nearly grabbed all three points for his side when he found space in Arsenal penalty areaWest Ham 0-0 Arsenal: wagonga nyundo wa London waliwashika koo na Arsenal kwa kutoa sare nao bada ya kufanikiwa kuwapiga Chlesea lakini bado wako kwenye nafasi zamwisho
Arsene Wenger alifanikiwa kuwaweka Jack Wilshere na Olivier Giroud kwenye kikosi cha kwanza cha arsenal  
West Ham alifanikiwa kuwashambulia sana katika mechi hiyo lakini hawakuwa na nafasi kamili ya kushindaMarko Arnautovic got the ball on target only for Nacho Monreal to clear off the line before a foul was awarded to Arsenal
Wagonga nyundo hawa walifanikiwa kufunga wakati Marko Arnautovic alionekana kuotea na kusababisha muamuzi kuwakatalia
Nacho Monreal alikuwa ndio kiungo alikuwa anacheza kama kiungo wa kati akimzuia Arnautovic lakini alikuwa akimchezea
Javier Hernandez alipiga shuti likapiga mlingoti na kurudi uwanjani 
Arsenal forward Sanchez goes down early in the first half following a collision while in possession of the ball
mchezaji Alex Sanchez akiwa chini baada ya kuumia akiwa nawania mpira na mpinzani
Arsenal midfielder Wilshere was making his first Premier League start for Arsenal since May 2016
Mchezaji Jack Wilshere akionekana kwa mara ya kwanza tangu May 2016
Central midfielder Mohamed Elneny warms up ahead of the Wednesday night Premier League clash at the London Stadium
kiungo Elneny akifanya mazoezi ya kupasha mwili kabla hajaingia uwanjani 
West Ham forward Javier Hernandez nearly grabbed all three points for his side when he found space in Arsenal penalty area
shuti la chicharito ambalo halikufanikiwa kuingia giloni 
Arsenal goalkeeper Petr Cech was beaten and could only watch as the ball bounced down from the underside of his crossbar
goli lagonga mwamba na kurudi uwanjani
How did that stay out? Hernandez watches in agony as his late strike drops on the line and spins away to safety

man city aweka rekodi katika ligi kuu uingereza

Manchester City secured their 15th consecutive victory with a 4-0 win over Swansea at the Liberty Stadium on Wednesday
man city wakishangilia ushindi wao wa 15 mfululizo. 
Swansea 0-4 Manchester City: ambao wanapata shida wakiwa wanaalama chache wamehadhibiwa na city  na kuwafanya watoto wa Pep Guardiola kuwa na rekodi nzuri kwenye ligi ya uingereza.
 David Silva aliwafungulia milangi man city kwa dakika za mwanzo dakika ya 27Midfield playmaker De Bruyne dribbles with the ball as Swansea's Tom Carroll and Jordan Ayew look to make a tackle
Kiungo tegemezi wa klabu hiyo, Kevin De Bruyne, aliongeza goli kwenye ushindi wa klabu hiyo baada tu ya dakika 7
Silva tena akarudi kuonyesha hakubaatisha kwa kuvunja matumaini ya wapinzani tena kwa kucheka na nyavu zao.
Sergio Aguero, ambaye alicheza mbele muda wote akiwasumbua wapinzania alimalizia msumari wa mwisho kwa kufunga goli la 4
Ushindi huu unamaanisha Pep Guardiola kwa upande wake ameweka rekodi ya kutokufungwa kwa michezo 15 mfululizo
Swansea, wao wapo katika nafasi za chini kabisa katika msimamo wa ligi kwa maana ya kwamba wanahali mbaya Zaidi. 
The Spain midfielder chipped the ball beyond Fabianski to ensure City maintained their lead at the top of the Premier League
kiungo wa Man city akihakikisha goli linaingia bila shida yoyoteAguero attempts to hold off the attentions of Carroll during a goalless first quarter at the Liberty Stadium on Wednesday
Arguero akipambana na mpinzani kwenye kushinda mpira wakati wakicheza mechi yao na swansea

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...